Kenya yaonya raia wote wajiandae kwa nyakati hizi ngumu
Waziri wa Hazina ya Kitaifa ya Kenya, Nguguna Ndongo, amewashauri raia kujiandaa na nyakati ngumu za kiuchumi, akisema mzozo wa kifedha nchini humo umefikia viwango visivyoweza kufikiria.
Katika taarifa iliyoripotiwa na gazeti la Kenya…